ProZ.com translation contests »
34th Translation Contest: "Sounds of Victory" » Swahili to English » Entry #38698


Source text in Swahili

Translation #38698

[…wnanaanza tena huku Mahmoud Abbas, anaupiga katikata ya kiwanja anauchukua tena pale Mulamba anampiga chenga hapa Kala Rokali, Rokali anakwenda pale kupiga pale krosi moja pale mbele kumtafuta JJ Masiga, JJ Masiga…..GOOOOOOOOOAAL!
Tunapata bao la kwanza msikilizaji! Kama nlivyokwambia, leo ni leo anyesema kesho muongo! Tunapata bao la kwanza manake baada ya krosi moja kupigwa na Mulamba na kaipata vizuri JJ Masiga, aliamua kwenda yeye mwenyewe na akawapiga chenga wote pale na difensi nzima! Manake wale walinzi na akawapiga chenga na akamtazama vizuri goalkeeper kule Mparusa na akapiga manake kwenye kamba kule kwa hivyo na kuzigusa kamba hizo na kwa hivyo inakuwa ni bao la kwanza katika michuwano wa leo!…]


Discuss this entry